Mfanyabiashara maarufu barani Afrika lakini
ambae pia ni mwekezaji wa club ya Simba kutoka nchini Tanzania. Anadaiwa kutekwa na watu wasiojulikana na kupelekwa kusikojulikana. Mohamed Dewji alitekwa katika hoteli ya Colosseum iliyoko maeneo ya Oysterbay jiji Dar es Salaam alipokuwa amekwenda kufanya mazoezi.
Mheshimiwa Zitto Kabwe ameweka ujumbe huu katika ukurasa wa Instagram. Akimuombea Mohamed Dewji arudishwe salama salimini.
Toa Maoni Yako


No comments:
Post a Comment