Rapa Kutoka Dallas Marekani C STRUGGS Ambae amekuwa akiwashangaza watu wengi kwenye Mitandao ya Kijamii Kutokana na Video zake kusambaa sana Jinsi anavyojitahidi Kupunguza Uzito wake kwa Kufanya Mazoezi kwa Bidii ameripotiwa Kubakisha MIEZI MIWILI TU YA KUISHI HAPA DUNIANI.
Kwa Mujibu wa Mtandao wa My Mixtapes wa Marekani, Umeandika kuwa, Madaktari wametoa Ripoti hiyo inayoonesha kuwa @cstruggs232 amebakisha siku 60 tu za kuishi kutokana na Cancer ambayo amekuwa akiihangaikia kwa muda mrefu kusambaa mwili mzima
"There is nothing that can be done to save the Rapper, He only has 2 months to live" - Ni Moja kati ya Ripoti kutoka Hospitali ya Dallas inayoshughulika na Afya Yake huku ikiongeza zaidi kuwa Matibabu anayopatiwa yamekuwa hayaridhishi kabisa kama atarejea kwenye hali yake ya kawaida
cstruggs232 Siku za Karibuni amekuwa akitoa nyimbo zenye kumtukuza Mwenyezi Mungu ikiwemo Track ya GO TO JESUS na Kutoa zaidi nyimbo za Inspiration Pamoja na Ngoma za Kuhamasisha Zaidi watu Kufanya Kazi.

No comments:
Post a Comment