Friday, August 24, 2018

INAWEZEKANA NI BIFU JIPYA KATI YA LUDACRIS NA 6IX9ine

Inawezekana Likawa limeibuka Bifu Jipya kati ya Rapa @6ix9ine na @ludacris kutokana na maneno wanayorushiana kwenye Mtandao wa Instagram lakini vile vile inaweza ikawa Kiki ya Track ambayo huenda wakawa wameifanya pamoja na wanataka kuiachia hivi karibuni

Wawili hao wamekuwa na Vijembe kwa kurushiana Mpira hivi karibuni kwenye page zao, kila Mmoja akimpost mwenzake na kwa hatua iliyofikia hivi sasa imekuwa ni ya lugha chafu na hata kuanza kudharauliana mambo yao ya kazi na vitu vya siri
Kwa Mujibu wa Mitandao Mbalimbali ya Entertainment Inasema kuwa wawili hao huenda wakawa na kazi na ndio njia mojawapo ya Kuipromote kazi hiyo kwa kutumia Mitandao kama sehemu Mojawapo ya kugombana na kuisogeza mjini kazi hiyo mpya

No comments:

Post a Comment