One of the Best Pop and RnB Singer Kutokea Marekani, @chrisbrownofficial ameonesha tena hisia zake kwa King of Pop the Late Michael Jackson kwa kusema kuwa amemiss uwepo wake na ameweka wazi kuwa alijifunza vitu vingi sana kutoka kwa Star huyo
Chris Brown Kupitia Page yake ya Instagram, ameandika kwenye Post inayoonesha Clip ya Michael Jackson na Chris anaonekana akimuelezea kama mtu wake ambaye amekuwa aki MuInspire kwa muda wote na kumfundisha mambo mengi sana kutokana na njia alizokuwa akipitia kwenye Sanaa
Chris alishawahi kufanya vitu vingi sana kama Perfomance ambavyo vimemletea Heshima kubwa sana kwenye muziki wake kwa kumuiga Michael Jackson na KuRespect kitu ambacho alikuwa akikifanya Before wao hawajaingia kwenye Game
TUAMBIE: WEWE NI STAR GANI AMBAE UNAMUANGALIA ZAIDI NA KWA NINI ?

No comments:
Post a Comment