Friday, August 3, 2018

IMA QUIT ALL THIS SHIT SAYS BOW WOW

Inawezekana American Rapa Shad Gregory Moss Maarufu kama BOW WOW itakuwa Stress zimeanza kumzidi sasa, na kumfanya kuachia Makombora ya maneno kwenye Mitandao ya Kijamii kuhusu Maisha Yake na Hali aliyo nayo sasa kwenye Tasnia ya Muziki.

Kupitia Page yake ya Twitter Rapa huyo ameandika kuwa Mashabiki zake waache kufuatilia vitu vyake na amechoshwa na maisha hayo, na anaweza akauza kila kitu kisha akazitumia pesa hizo kwa mambo mengine

Bow Wow kuanzia Weekend hii amekuwa akiporomosha Tweet ambazo zimewashangaza wengi kwa vitu ambavyo amekuwa akielezea ndani yake.

No comments:

Post a Comment