Friday, August 3, 2018

KENDRICK NDIYE ALIYEMUOMBA 50CENT KUWEPO KWENYE SERIES YA POWER

As we all know Series ya #POWER SEASON Mpya chini ya 50cent ishatoka na imekuwa na surprise kubwa sana mara baada ya kuonekana kwa mwana hiphop bora kwa sasa na mwenye heshima kubwa kwa sasa kendricklamar ambapo baada ya kuonekana kwake mashabiki wengi walihisi huenda 50cent alimuomba Kendrick awepo kwenye series hiyo ili ifanye vizuri sokoni.
Basi ukweli ni kwamba Kendricklamar yeye mwenyewe ndio alimuomba 50cent kwamba awepo kwenye series hiyo mpya ya #POWER ya msimu huu na wakakubaliana na kisha wakasign mikataba kwa ajili ya utengenezaji wa Filamu Hiyo.

No comments:

Post a Comment