Friday, August 3, 2018

ALBUM YA TREVIS IMETOKA, NI TISHIO KWA WENGINE

Rapa Travisscott Ameachia Rasmi Album yake Mpya ya #AstroWorld Aliyokuwa Akiitangaza Kwa Muda Mrefu Sana, na Sasa Album hii Inapatikana Kwenye Platform zote za Kuuza na Kununua Nyimbo Mitandaoni ikiwa na Jumla ya Track 17

Kupitia Page Yake ya Instagram Rapa Huyu Ameweka Picha Hiyo akiwa Katika Ndege Iliyoandikwa Jina la Album Hiyo Kisha Akaweka Caption Ya Kuelezea Kuwa Imetoka Rasmi.

Hii ni Album ya Pili kwa Rapa Huyu na Baadhi ya Mashabiki na Wadau wa Burudani wamekuwa wakiitabiria Album Hii kuweka Records Mbalimbali za Muziki tofauti na Watu wengi wanavyoichukulia Kazi Hii Mpya ya Travisscott

SO TUSUBIRI TUONE KAMA KWELI ITAWEZA KUFIKIA RECORDS KAMA INAVYOTABIRIWA

No comments:

Post a Comment