Saturday, August 4, 2018

RAPA C-STRUGGS KUTOKA NCHINI MAREKANI AMEFARIKI DUNIA

Hip Hop Rapa Kutoka Dallas Marekani CCstruggsAmbae Jana Madaktari Waliripoti Kuwa Amebakiza Miezi Miwili Tu ya Kuishi, AMEFARIKI DUNIA

C Struggs alikuwa akisumbuliwa na Cancer ambayo amekuwa akiihangaikia kwa muda mrefu Ugonjwa ambao kwa Mujibu wa Madaktari ulikuwa umesambaa mwili mzima na asingezewa kupona tena.

No comments:

Post a Comment