Account Ya Mfanyabiashara na Mwanamitindo @zarithebosslady Imepatikana baada ya kudukuliwa na Wezi wa Mtandaoni (Hackers) Muda Mfupi Uliopita.
Ikiwa leo ni Siku ya Kuzaliwa ya Mtoto wake @princess_tiffah Muda Mfupi Baada tu ya Kudondosha Birthday Wishes, Page hiyo yenye Follower Zaidi ya Milioni 4 ilifutika Post Zote na Baada ya Hapo kila Kitu Kikawa Hakionekani.
Hivi Sasa Idadi ya Watu ambao Wameifuata na Amewafuata (Followers & Following) Katika Page Hiyo walikuwawhawaonekani lakini kwa kwa sasa wamerudi kama walivo.

No comments:
Post a Comment