Moja ya neno ambalo hufanya wengi kushindwa kutimiza malengo yao ni pale ambapo wanajiaminisha wenyewe kwamba hawawezi na kusikiliza maneno ya watu kwamba hauwezi
Ila ukiweza kujiaminisha mwenyewe kwamba unaweza na ukakataa kusikiliza maneno ya watu yanayokuambia kwamba huwezi basi lazima malengo yako yatatimia.
Inawezekana mwaka 2009 wakati inatoka #KAMWAMBIE watu walidhani ni muziki wa kuishia Tanzania ila @diamondplatnumz ni kama alikuwa anatuma ujumbe kwa mashabiki duniani kwamba #KAMWAMBIE nakuja kuikamata dunia kwa muziki huu huu wa bongofleva.
Mwanamuziki @diamondplatnumz akiwa anaelekea kutimiza miaka 10 ndani ya bongofleva anadhihirishia ulimwengu kwamba muziki mzuri una nguvu kushinda lugha
Hii video yuko NOSBY/MADAGASCAR sehemu ambayo sio kiswahili wala kingereza kinachozungumzwa huko bali ki France lakini sababu ya muziki mzuri amejaza uwanja na mashabiki wameimba naye mwanzo mpaka mwisho na historia ikaandikwa kwa msanii kutoka Eas Africa kujaza uwanja kwenye nchi ya MADAGASCAR
JE UNA MAONI GANI AMBAYO UNAWEZA KUWAPA WASANII WACHANGA JUU YA SHOO HII YA DIAMOND ?

No comments:
Post a Comment