Muonekano kwa Msanii yoyote Duniani ni Kitu kikubwa sana, kwa kuwa mara zote anakuwa mtu anayeonekana mbele ya jamii na mashabiki ambao wanafuatilia kazi zake na maisha yake binafsi.
Hii imemtokea Rapa Kutoka South Africa @nasty_csa alipokuwa amekwenda kwenye moja ya saloon huko New York Nchini Marekani na Kinyozi aliyekuwa anashughulikia Kichwa chake Kuvuruga na kupoteza kabisa Style yake ambayo amekuwa akiizoea muda wote
Rapa huyo ambaye anatengenezaga nywele zake kwa @legend_sheldon akiwa South Africa alionesha kuchukizwa na kitendo hiko na kuamua kumwambia kinyozi wake kuwa itabidi wawe wanakwea Pipa pamoja akiwa safarini kwa ajili ya kuhakikisha muonekano wake wa kichwa haupotei kabisa
JE, WEWE HII ILISHAWAHI KUKUTOKEA ? ULIFANYA NINI BAADA YA HAPO ?
TAG KINYOZI AU MSHIKAJI WAKO AMBAYE ALISHAWAHI KUHARIBU NYWELE KAMA HIVI .

No comments:
Post a Comment