Rapa Lil Wayne amesema kuwa Album Mpya kutoka kwa mwanadada Nicki Minaj inayoitwa Queen ni moja kati ya Kazi Mpya Bora ambazo zimetoka kwa kipindi hiki na hata ukilinganisha na kazi za wasanii wengine hajasikia kazi ambayo inaweza kuitikisa Album hiyo
@liltunechi amesema kuwa @nickiminaj amekuwa sana Kimuziki na Hata ukilinganisha Uandishi wake wa zamani na wa siku za hivi karibuni una tofauti kubwa sana katika kazi ambazo anazitoa
Kama Haitoshi Wayne amesema hii inaweza kuwa Album Bora zaidi tangu Nicki Minaj Ameanza Muziki na Ukiachana na Nicki hata kazi ambazo zimetoka hivi Karibuni hii ni Kazi Bora zaidi kwani hajasikia lolote kutoka kwa msanii mwingine ambae ameachia kazi mpya


No comments:
Post a Comment