Rapper & Internet Entertainer #Boonk ame update fans wake kua yuko poa kwasasa.
Hii ni baada ya ku post mapema jana kwenye mtandao wa #snapchat picha akiwa ameumia na kusema kua amepigwa risasi mara mbili kwenye mguu wake wa Kulia na kuwahishwa Hospitali.
Unahisi ni kwanini haya matendo ya kihalifu yamezidi kuongezeka zidi ya hawa wanamuziki wapya wanaofanya vizuri kwasasa huko marekani? .

No comments:
Post a Comment